Karibu kwenye Jukwaa la Sir David tz, jukwaa la maarifa na elimu kwa kila Mtanzania. Lengo ni kutoa maarifa bora, rahisi kueleweka, na yanayosaidia katika maisha ya kila siku. Kupitia jukwaa hii, utapata makala mbalimbali kuhusu masomo ya shule, mbinu bora za kufundisha, elimu ya teknolojia. Tunajifunza pamoja!